Nenda kwa yaliyomo

Alberto Fernández

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Image
Fernandez (2019)

Alberto Ángel Fernández (amezaliwa 2 Aprili 1959) ni mwalimu, wakili na mwanasiasa wa Argentina, ambaye alikuwa Rais wa Argentina tangu mwaka 2019 hadi 2023.

Image Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alberto Fernández kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.