Nenda kwa yaliyomo

Augulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Augulo (pia: Augulus, Augurius, Augustus, Aule, Ouil; alifariki karne ya 4) alikuwa askofu wa Augusta (Britania au Normandy) aliyeuawa kwa ajili ya imani ya Kikristo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Februari[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Butler, Alban (1798), The Lives of the Primitive Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints, juz. la II, J. Moir, iliwekwa mnamo 2021-09-05
  • O'Hanlon, John (1875), Lives of the Irish Saints : with special festivals, and the commemorations of holy persons, Dublin: J. Duffy, iliwekwa mnamo 2021-09-05
  • St. Augustine's Abbey, Ramsgate (1921). The Book of saints : a dictionary of servants of God canonized by the Catholic Church. London: A. & C. Black, ltd. OCLC 671676136.
Image Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.