Nenda kwa yaliyomo

Branoki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Branoki (pia: Brannoc, Brannock; Welisi, karne ya 6 - Braunton, Uingereza, karne ya 6) alikuwa mmonaki anayetajwa kama mwanzilishi na abati wa monasteri[1][2] ambapo hatimaye alifariki [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Januari[5] au 26 Juni.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. ↑ Stanton, Father Richard (1887). "Saint Brannock, Abbot, Confessor, c.570". Menology of England and Wales. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2019 – kutoka catholicsaints.info.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Monks of Ramsgate (1921). "Brannock". Book of Saints. Iliwekwa mnamo 16 Julai 2019 – kutoka catholicsaints.info.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/99946
  4. ↑ Orme, Nicholas (1996). English Church Dedications. Exeter: University of Exeter Press. ISBN 0-85989-516-5.
  5. ↑ Farmer, David (Januari 2011). The Oxford Dictionary of Saints. ISBN 9780199596607. Iliwekwa mnamo 14 Julai 2019 – kutoka Oxford Index.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Image Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.