Paul Milstein
Mandhari
Paul Milstein (Mei 12, 1922 – Agosti 9, 2010) alikuwa mhandisi mwendelezaji wa majengo na mfadhili nchini Marekani.Pamoja na kaka yake Seymour Milstein, walijenga majengo huko jijini New York na wakawa wanunuzi wa Emigrant Savings Bank mwaka 1986, wakaijenga kuwa benki kubwa zaidi inayomilikiwa na watu binafsi nchini.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Martin, Douglas (Agosti 10, 2010). "Paul Milstein, City Real Estate Titan, Dies at 88". The New York Times. Iliwekwa mnamo Agosti 12, 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Peck, Sara (Agosti 10, 2010). "New York Real Estate Developer Paul Milstein Dead At 88". Forbes. Iliwekwa mnamo Agosti 12, 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Aloi, Daniel (Agosti 11, 2010). "CU mourns businessman and philanthropist Paul Milstein". Cornell Chronicle. Iliwekwa mnamo Agosti 12, 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Milstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |