Hesabu
Mandhari

Hesabu (kutoka neno la Kiarabu) ni somo linalohusika na idadi na jinsi tunavyoweza kuhesabu kwa kutumia hasa kanuni zifuatazo: kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawa n.k. Hesabu ni msingi wa nadharia ya namba.
| Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hesabu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |