Nenda kwa yaliyomo

Shughuli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Image
Bodaboda (Mwendesha pikipiki) akiwa amebeba abiria mwenye kupeleka bidhaa (Mbuzi) sokoni
Image
Shughuli ya ujenzi wa barabara ikiendelea Changanyikeni jijini Dar es salaam

Shughuli ni kazi yoyote anayoifanya mwanadamu, hasa inayompatia kipato cha kukidhi mahitaji yake ya kila siku.

Image Makala hii kuhusu "Shughuli" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.