Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Michezo wa Urawa Komaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Image
Uwanja wa Michezo wa Urawa Komaba

Uwanja wa Michezo wa Urawa Komaba ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1967 kwenye mji wa Saitama city, Saitama nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Urawa Red Diamonds na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 21,500.[1]

  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Image Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Urawa Komaba kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.