Nenda kwa yaliyomo

Mwanzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karibu kwenye Wikipedia,
Hadi leo tuna makala takriban 131,505 kwa Kiswahili

Je unapenda kuona Wikipedia yetu kama kitabu? Bofya hapa!
     

     

Kamusi Elezo ya Kiswahili

Karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili!

Wikipedia ni mradi wa kuandika kamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru.

Kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote, kutoa makosa ya lugha, kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala, kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu. Tunakushauri ujiandikishe na kufungua akaunti. Angalia Wikipedia:Mwongozo ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kusanifisha ukurasa. Usisite kushiriki; kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano, na hautaisha kamwe. Kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati. Angalia ukurasa wa jumuia, ukurasa wa jamii, na ule wa makala za msingi za kamusi elezo ili kung'amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha Wikipedia.


Je, wajua...

Kutoka kwenye mkusanyiko wa makala za Wikipedia:

Ngorongoro

  • ... kwamba Hifadhi ya Ngorongoro imepokewa katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO?
  • ... kwamba Asha-Rose Mtengeti Migiro ni mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini Tanzania aliyepata kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?
  • ... kwamba eneo la Afrika ya Mashariki ndilo ambalo lina uchumi unaokua kwa kasi zaidi katika bara la Afrika!
  • ... kwamba Samia Hassan Suluhu ni rais wa kwanza mwanamke Afrika ya Mashariki? Aliapishwa kuwa rais mara baada ya kifo cha mtangulizi wake, John Pombe Magufuli.


  • Makala ya wiki

    Patrice Lumumba

    Patrice Émery Lumumba (2 Julai 1925 – 17 Januari 1961) alikuwa mwanasiasa na kiongozi wa harakati za uhuru wa Kongo ambaye alihudumu kama ,Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huru kuanzia Juni hadi Septemba 1960. Lumumba alikuwa mtu mashuhuri katika harakati za utaifa wa Kongo na alicheza jukumu muhimu katika kuipatia Kongo uhuru kutoka kwa Ubelgiji. Kipindi chake cha uongozi kiligubikwa na mizozo ya kisiasa na migogoro, hali iliyosababisha kuondolewa kwake madarakani na hatimaye kukamatwa. Lumumba aliuawa kwa kupigwa risasi mnamo Januari 1961 katika mazingira tata yaliyohusisha wapinzani wa Kongo pamoja na uingiliaji wa mataifa ya kigeni, hususan Ubelgiji na Marekani. Anakumbukwa kwa mapana kama ishara ya ukombozi wa Afrika na upinzani dhidi ya ukoloni. ►Soma zaidi


    Picha nzuri ya wiki

    Image
    Marcus Garvey, 1924

    Marcus Garvey (1887–1940) alikuwa mwanaharakati, mwandishi na msemaji wa kisiasa kutoka Jamaika, anayejulikana kama mmoja wa waanzilishi mashuhuri wa vuguvugu la Pan-Africanism. Kupitia Universal Negro Improvement Association (UNIA), alihamasisha umoja, kujitegemea kiuchumi na kisiasa, pamoja na kuimarishwa kwa fahari na utambulisho wa watu wenye asili ya Afrika duniani. Mawazo yake yalikuwa na ushawishi mkubwa katika harakati za baadaye za ukombozi na haki za watu weusi.

    Takwimu ya Wikipedia ya Kiswahili

    • Idadi ya makala: 131,505
    • Idadi ya kurasa zote: 243,405 (pamoja na kurasa za watumiaji, majadiliano, msaada n.k.)
    • Idadi ya hariri: 1,605,967
    • Idadi ya watumiaji waliojiandikisha: 91,914
    • Idadi ya wakabidhi: 14
    • Idadi ya watumiaji hai: 219 (Watumiaji waliojiandikisha na kuchangia katika muda wa siku 30 zilizopita)
    Bofya hapa kwa kupata namba za sasa
    Katika mwezi wa Agosti 2025 wikipedia ya Kiswahili iliangaliwa mara milioni 7.79 hivi, ambayo ni sawa na mara 251,607 kwa siku au mara 10,483 kila saa ambalo ni ongezeko la mara 4.5 ukilinganisha na mwaka 2024 mwezi wa Agosti. Asilimia 52 za wasomaji wetu wako Tanzania, asilimia 13 wako Kenya, asilimia 18 wako Marekani na mnamo asilimia 10 wako Ulaya.
    Angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali
    (fungua anwani kwa browser yako, ondoa majina yaliyopo na ingiza jina la makala (hadi makala 10) unayopenda. Unaweza kubadilisha kipindi cha taarifa utakachoona; takwimu kabla ya 2015 hapa)
    • na makala 100 zilizotazamiwa zaidi "Topviews" kwa kipindi fulani.
    (unachagua kati ya makala 100 kwa mwezi au kwa siku)

    Michango ya wanawiki: angalia hapa michango ya mtumiaji kwenye kila mradi wa Wikimedia (andika jina la mtumiaji kwenye sanduku)

    Jumuia za Wikimedia

    Image Commons
    Ghala ya Nyaraka za Picha na Sauti
    Image Meta-Wiki
    Uratibu wa Miradi yote ya Wikimedia
    Image
    Wikamusi
    Kamusi na Tesauri
    Image
    Wikitabu
    Vitabu vya bure na Miongozo ya Kufundishia
    Image
    Wikidondoo
    Mkusanyiko wa Nukuu Huria
    Image
    Wikichanzo (Wikisource)
    Matini za vyanzo asilia kwa Kiswahili
    Image Wikispishi
    Kamusi ya Spishi
    Image
    Wikichuo
    Jumuia ya elimu
    Image
    Wikihabari
    Habari Huru na Bure

    Wikipedia kwa lugha nyingine

    Wikipedia kwa lugha nyingine