Bahari ya Wandel
Mandhari
Bahari ya Wandel (pia: Bahari ya McKinley) ni bahari ya pembeni ya Bahari Aktiki, kati ya visiwa vya Grinilandi (Udeni) na Svalbard (Norwei).
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|