Nenda kwa yaliyomo

Yesu na matabiri ya Agano la Kale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu
Yesu
Yesu Kristo na Ukristo

Umwilisho   Utoto wa Yesu   Ubatizo   Arusi ya Kana   Utume wa Yesu   Mifano ya Yesu   Miujiza ya Yesu   Kugeuka sura   Karamu ya mwisho   Msalaba wa Yesu   Maneno saba   Kifo cha Yesu   Ufufuko wa Yesu   Kupaa mbinguni   Ujio wa pili  Yesu na matabiri ya Agano la Kale   Injili   Majina ya Yesu katika Agano Jipya   Yesu kadiri ya historia   Tarehe za maisha ya Yesu   Kristolojia

Mazingira ya Yesu

Wayahudi   Kiaramu   Bikira Maria   Yosefu (mume wa Maria)   Familia takatifu   Ukoo wa Yesu   Ndugu wa Yesu   Yohane Mbatizaji

Mitazamo juu ya Yesu

Mitazamo katika Agano Jipya  · Mitazamo ya Kikristo   Mitazamo ya Kiyahudi   Mitazamo ya Kiislamu   Yesu katika sanaa

Yesu na matabiri ya Agano la Kale ni mada muhimu katika imani na mahubiri ya Wakristo toka mwanzo. Kwao matabiri mengi yaliyomo katika vitabu vya Agano la Kale kuhusu Masiya ajaye yametimia katika maisha ya Yesu, na ni ushahidi wa kwamba ndiye Masiya, kinyume cha mtazamo wa Wayahudi waliomfanya asulubiwe.

Baadhi ya matabiri hayo ni kama ifuatavyo:

UnabiiTukioUtimiaji

Mwa 49:10
Zab 132:11; Isa 9:7
Mik 5:2
Isa 7:14
Hos 11:1
Isa 61:1-2
Isa 53:4
Zab 69:9
Isa 53:1
Zek 9:9; Zab 118:26
Isa 28:16; Zab 118:22-23
Zab 41:9; 109:8
Zek 11:12
Isa 53:8
Isa 53:7
Zab 69:4
Isa 50:6; Mik 5:1
Zab 22:18
Isa 53:12
Zab 69:21
Zab 22:1
Zab 34:20; Kut 12:46
Isa 53:5; Zek 12:10
Isa 53:5,8,11,12

Isa 53:9
Yon 1:17; 2:10

Kuzaliwa katika kabila la Yuda
Kutoka familia ya Daudi bin Yese
Kuzaliwa Bethlehemu
Kuzaliwa na bikira
Kuitwa kutoka Misri
Kupewa utume
Kujitwalia maumivu yetu
Kuwa na ari kwa nyum yMungu
Kutosadikiwa
Kushangiliwa kama mfalme
Kukataliwa lakini kuwekwa awe jiwe kuu
Kusalitiwa na rafiki
Kuuzwa kwa vipande 30 vya fedha
Kujaribiwa na kuhukumiwa
Kujinyamazia hukumuni
Kuchukiwa bila sababu
Kupigwa na kutemewa mate
Kura kupigwa kwa mavazi yake
Kuhesabiwa kati ya wakosefu
Kupewa siki na nyongo
Kujisikia kama kuachwa na Mungu
Kutovunjwa mifupa
Kutobolewa
Kufa kama sadaka kufidia dhambi za watu
Kuzikwa pamoja na matajiri
Kubaki kaburini siku tatu, halafu kufufuka.

Math 1:2-16; Lk 3:23-33
Math 1:1,6-16; 9:27; Mdo 13:22-23
Lk 2:4-11; Yoh 7:42
Math 1:18-23; Lk 1:30-35
Math 2:15
Lk 4:18-21
Math 8:16-17
Math 21:12-13; Yoh 2:13-17
Yoh 12:37-38; Rom 10:11,16
Math 21:1-9; Mk 11:7-11
Math 21:42,45-46; Mdo 3:14; 4:11; 1Pet 2:7
Math 26:47-50; Yoh 13:18,26-30
Math 26:15; 27:3-10; Mk 14:10-11
Math 26:57-68; 27:1-2,11-26
Math 27:12-14; Mk 14:61; 15:4-5
Lk 23:13-25; Yoh 15:24-25
Math 26:67; 27:26,30; Yoh 19:3
Math 27:35; Yoh 19:23-24
Math 26:55-56; 56:27,38; Lk 22:37
Math 27:34,48; Mk 15:23,36
Math 27:46; Mk 15:34
Yoh 19:33,36
Math 27:49; Yoh 19:34,37; Ufu 1:7
Math 20:28; Yoh 1:29; Rom 3:24; 4:25

Math 27:57-60; Yoh 19:38-42
Math 12:39-40; 16:21; 17:23; 27:64.

Image Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yesu na matabiri ya Agano la Kale kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.